Mwana mama CELINE DION ambaye ni mkongwe na fund wa vibao kama NEW DAY HAS COME, MY HEART WILL GO ON na THE POWER OF LOVE ameweza kumuomba msanii mwenzake (rappa) DRAKE mkali wa kibao cha GOD PLAN pindi alivyo kuwa akihojiwa na radio moja nchin CANADA ijulikanayo kama IHEARTRADIO ombi la mwana mama huyo kwa drake ni kumtaka msanii DRAKE asichole tatuu ya sura ya celine dion mwilin mwake na amemtaka akishindwa kabisa basi achole tatuu feki,,, maneno ya CELINE DION yalikuwa hivi(please drake , i,love you very much. Can i tell you something, do not get a tatoo of my face in you body. Lakin rapa huyo, star wa gods plan ameonekana kutokumjibu chochote mwanamamaCELINE DION
mawazo ni muhimu,wew unazani kwan celine dion kamuomba drake asifanye ivo na kwann drake alitaka kuchora tatoo ya mwanamama huyo mwili mwake kama alivyo chola ya msani mwenzake LILY WAYNE unaweza KUKOMENTI na KUSHILIKISHA pia
officialbizoo
For interested news ,economic social , political news
Monday, September 23, 2019
Sunday, September 22, 2019
WASANII MATAJILI DUNIANI WA HIP HOP
Jalida maarufu dunia lijulikanalo kwa jina la Forbes limetoa listi ya wasaniii wa hip hop matajili dunia kwa mwaka 2019,,listi hiyo ikishikiliwa na wasanii watano toka marekai uku ukiongozwa na msanii JAY Z ambaye ndo namba moja akiwa na utajili wa $1billion akifuatiwa na DR.DRE akiwa msanii wa pili akiwa na utajili wa $800 million,Nafasi ya tatu ikienda kwa DIDDY ajulikanae kama muuza magazeti kwa utajili wa$700 million nafasi ya NNE ikienda kwa KANYE WEST mwenyew utajili wa $240, Na mwisho katika listi ya matajili hao ni msanii DRAKE mwenyew utajili wa $150 million. Hiyo ni listi ya Mwaka 2019 kwa mu
SIRI KUBWA YA KANYE WEST ILIYO JIFICHA
Msanii, rapper wa kimarekan ajulikanae kwa jina la KANYE OMARI WEST ambae pia n mmiliki wa kanisa la KANYE WEST SUNDAY SERVICE,, ameshangaza uma kwa kauli yake aliyo itamka kuusu maisha yake, kanye west ametamka kauli hiyo akisema kuwa amepata utajili wote alio nao kupitia shetani lakin kwake mungu atabaki kuwa mfalme i have all the riches from devil but god is the only king
Thursday, September 12, 2019
FIRST BLACK MAN TO HOLD PRESIDENT POSITION IN THE WORLD OF AFRICA
FROM LIBERIA
JOSEPH JENSKINS ROBERTS
he regarded as the first black people to hold the higher position in government rank,this is because of his country (Liberia) was not under colonial domination but was there to save the rapid black population growth in Latin America and that was formulated by American colonization society. He take that position of president since 1848 to 1856 and in 182 and 1876
Friday, August 2, 2019
VITA KUBWA ILIYO WAI KUTOKEA KABRA YA VITA KUU YA DUNIA
saba ya vita ( 7 years war ) hii ni vta iliyopiganwa kat ya mataifa makuu mawil , mwaka 1756 mpaka 1763. Ni vita kubwa iliyo wai kutokea kwa sababu ilijumuisha nafasi kubwa ya dunia , Ambapo dunia pia ilikuwa imegawanyika katika sehem kuu 2 .
Sehemu ya kwanza ilikuwa ni sehemu ya Taifa la Uingereza ambalo lilikuwa na timu yake iliyo kuwa na mataifa kama
1 ufalme wa prussia
2 ufalme wa uereno
Na sehemu ya pili ilikuwa ya taifa la ufaransa ambalo nalo lilikuwa na timu yake kama ifutavyo ambapo mataifa kama ,
1 Australia
2 Romania
3 Swedes yalkikuwa yakiunga sere ya mfaransa kwa wakati huo .Lakin pia richa ya mataifa hayo kupigana , vita hiyo ilikuwa pia imejumish mabara matano amabayo ni kama yafuatayo,
Ulaya
America
Africa maghalibi
Asia
Philipine
Nin sababu ya ugomvi wao.
sababu kubwa ilikuwa kupata northern american
Wednesday, July 31, 2019
WATANZANIA KUITWA TUMBILI< NINI MAON YAKO
Ronald Reagan: Kwa nini rais huyo wa zamani Marekani aliwaita wajumbe wa Tanzania 'tumbili'
Rais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan aliwaita tumbili wajumbe wa Afrika katika Umoja wa Mataifa UN mwaka 1971 wakati alipokuwa gavana wa Jimbo la California katika ukanda wa sauti uliochapishwa na The Atlantic.
Alitoa matamshi hayo ya kibaguzi katika mawasiliano ya simu kwa aliyekuwa wakati huo rais wa Marekani Richard Nixon ambaye alirekodi simu zake zote.
Gavana huyo alikasirishwa kwamba wajumbe wa Afrika katika Umoja wa Mataifa UN hawakuiunga mkono Marekani katika kura ya kuitambua CBaada ya kura hiyo, wajumbe wa Tanzania walikuwa wameanza kucheza densi katika ukumbi wa UN.hina na kuipiga marufuku Taiwan.
Tuesday, July 30, 2019
KUMEKUCHA IRAN NA UINGEREZA >HALI BADO TETE
Nahodha wa meli ya mafuta iliyotekwa na ilipokuwa imebeba mafuta ya Iran amesema kuwa Kikosi cha majini cha Uingereza kilitumia "kikosi cha ghasia " katika kuiteka meli.
Mapema wiki hii, Vikosi vya Marekani viliwalazimisha maafisa wa Gibraltar ambao mewli yao ya mafuta ilikuwa imebeba imebeba mafita kuelekea nchini Syria jambo ambalo lilikuwa ni ukiukaji wa vikwazo vya Muungano wa Ulaya.
Nahodha amesema kuwa kikosi cha wanamaji cha Uingereza waliwalazimisha wahudumu wake ambao hawakuwa na silaha kupiga magoti kwa kuonyeshwa mtutu wa bunduki.
Hata hivyo Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilisema kuwa kutekwa kwa meli hiyo ilikuwa ni kulingana na "sheria na miiko ya kimataifa ".
Tarehe 4 Julai, takriban wanamaji 30 kutoka kikosi cha askari wa uvamizi 42 walisafirishwa kwa ndege kuutoka nchini Uingereza hadi Gibraltar kusaidia kuikamata meli na shehena yake , kufuatia ombi la serikali ya Gibraltar.
Subscribe to:
Posts (Atom)