Sunday, September 22, 2019

SIRI KUBWA YA KANYE WEST ILIYO JIFICHA

Msanii, rapper wa kimarekan ajulikanae kwa jina la KANYE OMARI WEST ambae pia n mmiliki wa kanisa la KANYE WEST SUNDAY SERVICE,, ameshangaza uma kwa kauli yake aliyo itamka kuusu maisha yake, kanye west ametamka kauli hiyo akisema kuwa amepata utajili wote alio nao kupitia shetani lakin kwake mungu atabaki kuwa mfalme  i have all the riches from devil  but god is the only king











No comments:

Post a Comment