Monday, July 29, 2019

WACHAFU MARUFUKU KUJA DAR ES ALAAM

WATU WACHAFU WAPIGWA MARUFUKU KWENDA MJINI
DAR ES ALAAM 

Ni kauli iliyo tolewa na mueshimiwa mkuu wa mkoa wa dar es alaam (Paul makonda ), kauli hiyo ameitoa kufuatia mkutano wa SADC wa 39 unaotegemea kufanyika nchini Tanzania kuanzia August 18  2019 utakao wakutanisha vingozi ( maraisi 15 wa inchi zinazo unda umoja huo ) lengo likiwa ni kuogopa kumzalilisha mku wa nchi ( raisi john pombe magufuli) katika kipindi chakutano huo. Walengwa wa kauri hiyo ni

1-Wasio oga
2-wasio nyoosha nguo zao
3-watumia wa magali wanao tupa taka ovyo barabarani ( uku akiza kuwa kwa yeyote atakaye bainika kutupa taka ovyo anatakiwa awajibishwe vika kwa kumpa kipande cha kilomita 1 ambacho anatakiwa kudeki ..."" Hawa watu wanajeuri ya pesa ko wakitozwa faini ya pesa wanalipa  na mazingiar yanabaki kuwa machafu ,mkamateni mpeni kipande cha kilomita 1 apide deki "" ) yote haya ni kuonyesha kuwa tuko serious na usafi wa jiji letu ,Makonda amesema ,, amemalizia kwa kusema wachafu wore mnaombwa kuja mjini baada ya mkunano kuisha.

No comments:

Post a Comment